,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Tuesday, January 27, 2015

Taarifa:
 
"Ndugu zangu naomba kuwajulisha kwamba...mke wangu Bi.Mariam Abdallah leo alfajri alipata dalili za utayari wa kujifungua na mimi mwenyewe nilimuwahisha hospital ya muhimbili baada ya kuwasiliana na daktari wake Dr Marandu...
Kwa masikitiko makubwa mtoto yule imegundulika kwamba amefariki! Innalillah wainna ilaihi raajiun....
Kwa sasa mimi nipo hapa Muhimbili hospital kwa hatua zaidi.
Shukran."


Abdallah Ulega

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi