Kuna mwanajeshi aliyechomwa kisu juzi juzi maeneo ya Tungi karibu na shule ya Tungi. Kwa kuwatetea wanafunzi waliotaka kuibiwa na vibaka. Baada ya hapo wakamchoma visu huyo mwanajeshi.
Yupo hospitali anatibiwa,inasemekana hali yake ni mbaya. Wanajeshi walianza kutembeza kichapo hadi leo watu wanakimbia kimbia hovyo. Hapakaliki.
0 comments:
Post a Comment