Posted by Williammalecela.com on Tuesday, January 27, 2015
haya sasa mahaba niuwe nimalize na unininginize labisa iwiih, wapi king crazy gk mume wa diva, jamany ustaa kazi, he u assume mwanadada diva ndio angekuwa mchumba wako wew halafu anapiga
picha kama hiyo akapigwa busu la shavuni na yeye mwenyew kuanza kuisambaza kwenye mitandao kiukweli, kama ni mwanaume rijali lazima itakuuma, but to them kwa mastaa wa bongo hichi kitu ni jambo la kawaida wenyew husemaga eti ni freindship kiss nin? Haya kweli ustaa kazi, sema nini ndo hivyo tena.
0 comments:
Post a Comment