Mcheza
sinema za bongo Movie Elizabeth Michael ‘LULU’ amekiri kuteswa na jini
mahaba ndiyo maana amekuwa akishinda kujizuia kulala bila kufanya ngono
hali ambayo anatamani kuiacha lakini anashindwa.
Akizungumza
na tovuti yetu, Lulu alisema kwamba mara nyingi amekuwa akiota anafanya
ngono na wanaume asiowafahamu na akiamka asubuhi huwa anajiskia mchovu
na hali hiyo
imechangia kuwa na mvutio zaidi kwa wanaume mbalimbali na wengi wao hujikuta ana ‘do’ nao.
“Hakuna anayeweza kukubali kufanya ngono kama kuku, mara nyingi nimekuwa nikiota ninafanya mapenzi na wanaume nisio wajua na baada ya kuuliza nikaambiwa ni jini mahaba na hili limekuwa likinitesa na limepelekea niwe na mvuto wa kupendwa zaidi na wanaume ambao baadhi yao huwa nashindwa kujizuia kuwapa uroda”alisema LULUimechangia kuwa na mvutio zaidi kwa wanaume mbalimbali na wengi wao hujikuta ana ‘do’ nao.
0 comments:
Post a Comment