Posted by Williammalecela.com on Saturday, December 13, 2014
Leo
kwenye safu hii tunaye mwanadada ambaye anaendesha maisha yake kwa kazi
mbalimbali zikiwemo uigizaji, muziki, uanamitindo, ujasiriamali na
utangazaji.
Miss
Tanzania namba 2, 2006, Jokate Mwegelo akipozi. Huyu ni Jokate Mwegelo
ambaye ni Miss Tanzania namba 2, 2006. Wiki hii yuko hapa kujibu maswali
10 ambayo mwandishi wetu Hamida Hassan alimuuliza na akatoa ushirikiano
katika kuyajibu. INAENDELEA BOFYA HAPA>>
0 comments:
Post a Comment