![]() |
| @
LE MUTUZ LIVE STRAIGHT TALK!!:- U KNOW KWENYE HAYA MAISHA
KUNA WAFANYAJI NA WALALAMIKAJI AMBAO WAMESHAKUBALI KIAKILI KWAMBA
WAMESHINDWA MBIO ZA MAISHA MAZURI, YAANI WAMEKWAMA KWA SABABU AKILI YAO
NA UWEZO WAO WA KUFIKIRI NI MDOGO SANA NA HAPO WALIPOFIKIA NDIO MWISHO
WAKE KWA KAWAIDA HUWA WANA MANENO YAFUATAYO:- 1. YULE MUUZA UNGA 2. KAZI YAKE KUJIPENDEKEZA SANA 3. HANA LOLOTE MADENI TU 4. ZAMANI ALIKUWA MJINGA MJINGA HANA KITU 5. NAMJUA SANA SI LOLOTE YULE NI BABA YAKE TU 6. ANAJIFANYA ANAJUA SANA 7. KAZI YAKE KUJIKOMBA KOMBA TU 8. YAANI ANA MADENI HAPA MJINI 9. NAMJUA MSICHANA MMOJA ALIMUACHA KWA SABABU NI MJINGA SANA 10. NGOJA UTAWALA UBADILIKE TUONE NI MANENO YA KUJIFARIJI YA THE WEAK MIND WITH WEAK SPIRIT NAWAOGOPA SANA WATU KAMA HAWA CAUSE NI WASTE KWENYE TAIFA THEY ARE ON THEIR WAY OUT! YAMEKATA TAMAA YA MAISHA SASA YANASUBIRI MTU WA KUYASUKUMA YAONDOKE TU, UKIYASIKILIZA UNAISHIA KUWA KAMA YALIVYO DEAD MAN WALKING!! AND YES I SAID IT DEAD MAN WALKING!! - MY PEOPLE HAYA NI BAADHI TU YA MANENO YA KUONYESHA UMEFIKIA MWISHO UNASUBIRI KUFA TU, UKIONA UNAYATAMKA SANA HAYA MANENO HAPO JUU, UJUE UNAKARIBIA SANA KUFA MAANA MAISHA YAMEKUSHINDA NA MY PEOPLE KAMA HUJARUSHIWA THIS KIND OF MANENO MAANA YAKE HUNA MAENDELEO UPO SAWA NA KILA MTU, PEOPLE TUFANYENI KAZI TUWACHE KULALAMIKA TU KAMA WATOTO AKILI NI NYWELE KILA MTU NA ZAKE ZAKO HAZIWEZI KUWA SAWA NA ZANGU ILA MUHIMU NI MATOKEO NDIO YANAJISEMA NANI ANAZO NA NANI HANA!!, JAMANI MCHANA MWEMA SANA! - LE MUTUZ
|
Sunday, June 8, 2014
Posted by Williammalecela.com on Sunday, June 08, 2014
1 comment
Subscribe to:
Post Comments (Atom)








Le mutuz my bro katika siku zote facts za leo nimezikubali, wewe tu unavyojituma ni mfano tosha yaani kila siku unaona bado hujafika. waswahili wapendao majungu ni wavivu hata kufiri je huyu mtu anafanyaje fanyaje hivyo kwa uvivu plus upeo kiduchu wa kufikiri ana conclude ni hayo uliyolist.
ReplyDeletekuna mkurugenzi mmoja wa kigeni kila siku alikua analetewa majungu na wafanyakazi wake, akajiuuliza haya mashtaka kila siku yataisha lini akafanya ka research kadogo nakugundua kuna makundi kila muda wa break wana jitenga kimakundi na kukaa chini ya miti yakivuli, alicho amua kufanya nikukata miti yote ya kivuli huwezi amini majungu yalikwisha mara moja,somo hili linatufundisha watu ambao hawana shughuli yakufanya au wamekata tamaa mwisho wa siku wanapika majungu tuu