Waandishi waitwa Ikulu saa 11 Jioni hii (Feb 07, 2014)
Waandishi wa habari wameitwa Ikulu. Wametakiwa saa 11:00 wawe wameshaketi! Haijaelezwa kitu gani kitazungumzwa, lakini inawezekana ni utekelezaji wa ile ahadi ya Mheshimiwa Rais ya kutangazwa majina ya wabunge wa Bunge la Katiba.
Source:- JF Blog
0 comments:
Post a Comment