Staa
wa filamu za Kibongo Elizabeth Michael‘Lulu’ametangaza rasmi sehemu
zinazopatikana tiketi za uzinduzi wa filamu yake ya Foolish Age
inayotajiwa kuzinduliwa August 30,Mlimani City,Dar.
Lulu ameposti tiketi hizo kupitia mtandao wa instragram,amevitaja vituo hivyo ni pamoja na:-
1:ROBBY
ONE FASHION(KINONDONI) 2: SHEAR ILLUSONS(MLIMANI CITY) 3: LEADERS
CLUB(KINONDONI) 4: TCC CLUB(CHANG'OMBE) 5: BIG RESPECT(KARIOKOO) 6:
ZIZZOU FASHION(SINZA & VICTORIA) 7: NYUMBANI LOUNGE.
Lulu ameposti tiketi hizo kupitia mtandao wa instragram,
0 comments:
Post a Comment