Posted by Williammalecela.com on Sunday, May 19, 2013
 |
| Familia ya MzeeAlly Kleist Sykes, inasikitiska kutanagaza msiba wa baba yao mzazi pichani Mzee Sykes, kilichotokea leo Hospitali ya Agha Khan Mjini Dar, Msiba upo Mbezi nyumbani kwa Marehemu na mazishi yatafanyika kesho baada ya sala za maombolezo kwenye Msikiti wa Kipata, Dar. |
0 comments:
Post a Comment