Mwili wa Marehemu Ernest Zulu, Afisa Habari Mkuu Ofisi ya Bunge
umewasili nchini kutoka Malaysia ambako alikuwa akisoma hadi umauti
ukamkuta. Heshima za mwisho zilitolewa jana tarehe 30 Mei, 2013 nyumbani
kwake Dar es Salaam, Ubungo-Kibangu kuanzia saa tano asubuhi 
Jeneza lenye mwili wa marehemu Ernest Zulu likiwa kanisani wakati wa ibada ya kumwombea 
Mke wa marehemu Zulu (aliyefunga mkono) akiwa kanisani
Watoto wa marehemu Zulu wakiomboleza kifo cha baba yao mpendwa
Maandalizi ya ibada ya Misa takatifu ya kumwombea marehemu
Waomboleza kwenye msiba wa marehemu Ernest Zulu
0 comments:
Post a Comment