@
LE MUTUZ STRAIGHT TALK!!: KUNA PICHA YA MBONGO STAR HIVI AMEPIGA AKIWA
MTUPU, ILIWEKWA KWENYE BLOGU NA MTUWANGU NINAPOKUWA SIPO, IN THE LAST 15
MINUTES NIMEPOKEA SIMU NYINGI SANA NA SMS KUTOKA DUNIA NZIMA OMG!! SASA
HIVI NIMEFIKA KWENYE MTANDAO NA NIMEONDOA HIYO PICHA!!
- SAMAHANI
SANA NA NINAWAOMBA RADHI SANA WALE WOTE WALIKWAZIKA NA HIYO PICHA AMBAYO
MIMI MWENYE SIJAIONA BADO INAFANANAJE, WE ALWAYS RESPECT MAWAZO YA OUR
VISITORS!!, MUCH RESPECT! - LE MUTUZ
- SAMAHANI SANA NA NINAWAOMBA RADHI SANA WALE WOTE WALIKWAZIKA NA HIYO PICHA AMBAYO MIMI MWENYE SIJAIONA BADO INAFANANAJE, WE ALWAYS RESPECT MAWAZO YA OUR VISITORS!!, MUCH RESPECT! - LE MUTUZ

0 comments:
Post a Comment