…
MUIGIZAJI anayeng’ara katika muziki wa Bongo Fleva huku akidili pia na mambo ya filamu, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amefunguka kuwa anasumbuliwa sana na wadada wanaojihusisha na tabia ya usagaji kitu ambacho kinamkera.
Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Shilole alisema anawashangaa wasichana wanaomtokea na kumtaka kimapenzi na akaeleza kuwa kinachomuuma zaidi ni kwamba kuna wengine ni mastaa wenzake.
“Yaani wananisumbua sana, mbaya zaidi wengine ni wasichana maarufu sana lakini hawana hata aibu, wakiendelea kunisumbua nitayaweka majina yao hadharani, mimi sipendi kabisa tabia hiyo,” alisema Shilole.
Zuwena Mohammed ‘Shilole’.
Na Shakoor JongoMUIGIZAJI anayeng’ara katika muziki wa Bongo Fleva huku akidili pia na mambo ya filamu, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amefunguka kuwa anasumbuliwa sana na wadada wanaojihusisha na tabia ya usagaji kitu ambacho kinamkera.
Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Shilole alisema anawashangaa wasichana wanaomtokea na kumtaka kimapenzi na akaeleza kuwa kinachomuuma zaidi ni kwamba kuna wengine ni mastaa wenzake.
“Yaani wananisumbua sana, mbaya zaidi wengine ni wasichana maarufu sana lakini hawana hata aibu, wakiendelea kunisumbua nitayaweka majina yao hadharani, mimi sipendi kabisa tabia hiyo,” alisema Shilole.
0 comments:
Post a Comment