,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Saturday, November 10, 2012

Walter Chilambo ndiye kinara wa shindano la Epiq Bongo Star Search 2012,kitia ndani kitita cha shilingi milioni 50.
Walter Chilambo ndiye kinara wa shindano la Epiq Bongo Star Search 2012,kitia ndani kitita cha shilingi milioni 50.

Walter Winner EBSS 2012

Walter Chilambo
Salma Yusuph
Hatimae Epic Bongo Star Search yafikia fainali, mshindi wa kwanza ni Walter Chilambo na wa pili ni Salma Yusuph. Walter ameondoka na kitita cha shilingi milioni hamsini. Hongera Walter, una sauti nzuri sana, Mungu akusaidie upate watu watakaokuongoza vizuri kwenye muziki.

Like · · · 2 hours ago ·

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi