Posted by Williammalecela.com on Friday, November 09, 2012
Rais kikwete azindua ujenzi wa bomba la gesi asilia kutoka mtwara-dar es salaam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua
rasmi ujenzi wa bomba la gesi asilia toka Mtwara hadi Dar es salaam leo
Novemba 8, 2012 maeneno ya Kinyerezi njijini Dar es salaam. Nyuma yake
ni Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali
na viongozi wengine wakimsikiliza Waziri wa Nishati na Madini Profesa
Sospeter Muhongo miundombinu ya bomba la gesi asilia toka Mtwara…
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akizindua rasmi ujenzi wa bomba la gesi asilia toka Mtwara hadi Dar es
salaam leo Novemba 8, 2012 maeneno ya Kinyerezi njijini Dar es salaam.
Nyuma yake ni Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali
na viongozi wengine wakimsikiliza Waziri wa Nishati na Madini Profesa
Sospeter Muhongo miundombinu ya bomba la gesi asilia toka Mtwara hadi
Dar es salaam leo Novemba 8, 2012 maeneno ya Kinyerezi njijini Dar es
salaam. Nyuma yake ni Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na ujumbe wa kampuni inayojenga
bomba la gesi asilia kutoka Mtwata hadi Dar es salaam, Benki ya Exim ya
China na viongozi waandamizi wa serikali alipowakaribisha Ikulu kwa
mazungumzo baada ya uzinduzi rasmi wa ujenzi wa bomba hilo maeneo ya
Kinyerezi jijini Dar es salaam.
0 comments:
Post a Comment