Posted by Williammalecela.com on Monday, September 24, 2012
Wasanii wa kundi la Jeshi wakifanya onyesho la Mzingaombwe katika Tamasha la
Sanaa la Bagamoyo
Wasanii wa Kikundi cha Shada, wakifanya onyesho la sarakasi katika ufunguzi wa
tamasha la kimataifa la Sanaa Bagamoyo. Tamasha hilo limefunguuliwa rasmi
Jumatatu na litaendelea kwa siku tano hadi Jumamosi ijayo
0 comments:
Post a Comment