Posted by Williammalecela.com on Monday, May 21, 2012
1 comment
Mkazi wa DC Washington, Dada Loveness Mamuya, akisalimiana na Rais Dr. Jakaya Kikwete, ambaye yupo huko kwa mualiko wa Rais Obama, alipomtembelea na wananchi wengine walioko huko.
william mimi nampenda yuhu dada sana yaani wanamtukana sana maskin lakini nachompenda anakaa kimya kila wanalomtupia anakaa kimya wewe kama unamfahamu naomba sana mweleze asije akawajibu watu au akawatukana binadamu wana wivu nimekuona wewe mtu mzima unaweza kuongea na huyu demu ni mchapakazi kishenzi naomba sana mfundishe siasa

ReplyDelete