,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Tuesday, May 22, 2012

Huyu ndiye mtangazaji mahiri wa Clouds, kwa jina maarufu Diva ambaye leo amezua kiazaa zaa hapa mjini kwa kudai kwamba: "Wanaume wa bongo ni wachafu, hawafui boxers zao, wala soxi zao na pia hawapigi mswaki midomo yao inanuka."

7 comments:

  1. Hmm..She's entiltled to her opinion....maybe that's what her experience has been so far...

    ReplyDelete
  2. Pole Diva kwani unahaki ya kusema hayo uliyoyasema kwani ndio aina ya wanaume uliokutana nao. Ila nikupongeze kwa utafiti wako binafsi na kikubwa basi wale wanaosemwa wajirekebishe wawe wasafi binti anapenda muwe wasafi...nadhani wanajijua. Big up Diva kwa kufunguka bila ya aibu safi sana!

    ReplyDelete
  3. kazi kwei kwei ye mwenyewe hajijui alivo. anatoa harufu ya shombo la samaki puani kwake ukilala nae unatamani kupambazuke mapema utoke nduki

    ReplyDelete
  4. pole sana diva kwa kubahatika kuwa na boyfriends wachafu. usirudie tena

    ReplyDelete
  5. kazi kweli kweli! dada wa watu ana bahati mbaya, kila jamaa anayempata hafui boxer wala sox! huwa unawapatia wp? itakuwa huwa unapata mateja

    ReplyDelete
  6. fanya na utafiti kwa wanawake wanaonuka chupi na makwapa, mdomo,nywele n.k

    ReplyDelete
  7. Waswahili husema "AISIFUYE MVUA IMEMNYESHEA" hao ni aina ya wanume aliowapa uroda.Kweli ana bahati mbaya anaruka matope anakanyaga mavi huh!!

    ReplyDelete

ufunguzi