Posted by Williammalecela.com on Tuesday, May 22, 2012
Ndugu Slim, aliyekuwa Baharia wa siku nyingi sana na sasa amerudi nyumbani na Mjasiriamali mkubwa sana anayewekeza kwenye maeneo ya Bagamoyo, hapa akiwa na Familia yake huko Viriginia, USA; alikokuwa kwa mapumziko mafupi.
0 comments:
Post a Comment