,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Monday, September 11, 2017

Mayor wa Manispaa ya Kinondoni Benjamin Sitta


Mayor wa Kinondoni Benjamin Sitta amethibitisha kufunguliwa kwa kiwanda cha mbolea katika Manispaa ya Kinondoni.


Amesema wanafungua Kiwanda hicho cha kuzalisha Mbolewa ambapo kitasaidia sana Wakazi wa  Manispaa ya kinondoni na hata wa sehemu nyingine mbalimbali.

"Tunaaza kwanza na taka za kwenye masoko na baadae tutakusanya za majumbani ambapo taka zitakazo kusanywa zote zitapelekwa Kiwandani kwa ajili ya kuzalisha mbolea" amesema.

Amesema ni jambo la furaha kufungua Kiwanda katika Manispaa yao kutokana na Manispaa zote zimetakiwa kufungua Viwanda kama agizo la Rais linavyosema hivyo wananchi wajiandae kunufaika na kiwanda cha Mbolea.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi