| Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akiwa nje ya ukumbi wa Hoteli aliyopigiwa risasi Mbunge wa Chadema Tundu Lissu, muda mchache uliopita huko Dodoma na hizo mikononi mwa mpammbe ni nguo za Tundu Lissu na viatu vyake. |
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment