Posted by Williammalecela.com on Tuesday, August 29, 2017
 |
| Baadhi ya Mawakili wakiendelea na shughuli zao za uwakili katika
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es salaam mapema leo licha ya
kuwepo kwa wito wa Rais wa chama cha Mawakili Tanzania (TLS) Tundu
Lisu kuwataka mawakili wote nchini kususia shughuli za Mahakama kwa muda
wa siku Mbili (Jumanne na Jumatano) kufuatia Ofisi za Mawakili IMMMA
ADVOCATES kupigwa Mabomu na watu wasiojulikana mapema mwishoni mwa wiki
iliopita jijini Dar es salaam. Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es
salaam limesemakwamba linaendelea kufanya uchunguzi wa kina ili kubaini
watu hao waliofanya tukio hilo pamoja na kujua dhamira yao ili wakamatwe
na kufikishwa mbele ya sheria. |
0 comments:
Post a Comment