,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Saturday, July 1, 2017

Mtoto Charlie mwenye umri wa miezi 8 amehukumiwa kifo na Mahakama ya Haki za Binadamu Barani Ulaya baada ya kupokea mapendekezo kutoka kwa jopo la Madaktari wa Nchini Uingereza.
Mtoto huyo anasumbuliwa na ugonjwa wa Mitochondrial DNA Depletion Syndrome ugonjwa ambao Madaktari hao wamethibitisha kuwa hauna tiba. Madaktari wanasema ni vyema mtoto huyo akafariki kuliko kuendelea kuishi kwa msaada wa mashine maalum.
Wazazi wa Mtoto Charlie kupitia mradi wa GoFundMe wamechangisha Dola za Kimarekani milioni 1.3. Mpaka sasa watoto wanaosumbuliwa na ugonjwa huo ni 16 Duniani.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi