,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Saturday, July 1, 2017

Mapema leo kulikuwa na taarifa zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu Mtangazaji wa Azam TV Fatna Ramole kutojulikana mahali alipo kwa zaidi ya saa 48 na zikatolewa taarifa nyingine leo mchana kuwa amepatikana akiwa Hospitali baada ya kupata ajali maeneo ya Chuo cha Ustawi, Bamaga.

Baada ya taarifa za kupatikana kwake  imempata dada yake anayeitwa Lulu Ramole ili kujua kilichotokea naye kathibitisha kuwa amepatikana ingawa hakuwa na uwezo kuzungumza zaidi akisema taarifa zaidi ziko Polisi.
“Nipo hapa Polisi tunamalizia. Tumeweza kumfuata asanteni tumempata. Siwezi kuongea chochote cha zaidi taarifa zipo Polisi.” – Lulu Ramole.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi