,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Saturday, July 1, 2017


Godfrey Kaburu aliyekuwa akiwania nafasi ya urais Katika Shirikisho la Soka Nchi TFF imedaiwa kuandika Barua ya kujitoa kwenye mbio hizo za Kuwania Urais wa Shirikisho hilo.

Juzi Kaburu na Aveva walipandishwa kwenye Kizimba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na Kusomowa Mashtaka Matano yakiwemo ya Utakatishaji Fedha.

Kaburu na Aveva walikosa dhamana  kutokana Mahakama hiyo kukosa miguu ya kusikiliza dhamana za makosa ya uhujumu uchumi.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi