Posted by Williammalecela.com on Monday, June 12, 2017
 |
| Sherehe ya Dinner Party ya kuzaliwa kwa Mmmiliki wa Clouds Media Group, ilifanyika Ijumaa jioni katika Hotel ya Kitalii ya Serena Hotel na kuhudhuriwa na marafiki zake wa karibu na wa kutokea utotoni mwake, wamiwemo Le Mutuz Nation, Baraka Shelukindo, Idd Mbita, Moddy El-Maamry, Lufti Orban, Kinje Kingunge na Stewart Chiduo. |
0 comments:
Post a Comment