
Baada
ya kufanya uchunguzi Kamati imebaini kuwa ACACIA haikusajiliwa nchini
Tanzania, ACACIA haina sifa ya kupata leseni ya kuchimba wala kufanya
biashara ya madini nchini:- Mwenyekiti Prof. Nehemiah Eliachim Osoro
ACACIA
MINING inafanya biashara ya madini kinyume na sheria za nchi, hili
jambo ni la ajabu linaweza kufanyika Tanzania tu lakini nchi nyingine
haliwezekani - Mwenyekiti Prof. Nehemiah Eliachim Osoro
Kuna
Taasisi za serikali kama TRA wamekuwa wakishirikiana na ACACIA wakati
watu hao hawatambuliki kisheria, hili jambo linaweza kutokea Tanzania tu
si nchi nyingine - Mwenyekiti Prof. Nehemiah Eliachim Osoro
Baadhi
ya watumishi wa serikali wamelitia aibu Taifa, kwa kutoa taarifa za
uongo, kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu - Prof. Nehemiah Osoro.
#RipotiYaMchanga
0 comments:
Post a Comment