,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Thursday, June 29, 2017

Mzee Yusuf
 Zikiwa zimepita siku kumi tangu apate pigo la kufiwa na mkewe mdogo, Chiku Khamis, aliyekuwa Mfalme wa Taarab Bongo na Mkurugenzi wa Kundi la Jahazi Modern, Alhaj Mzee Yusuf amefunguka kuhusu bifu kati ya mkewe mkubwa Leila Rashid na dada yake Khadija Yusuf.




Leila

Risasi Mchanganyiko lilipotaka kujua kama amelifanyia kazi bifu la mkewe huyo na dada yake Khadija Yusuf, alifunguka kuwa bado kwa sababu kichwa chake hakiko sawasawa.


Khadija Yusuf

“Kichwa changu hakijakaa sawa bado, mpaka niweze kushughulikia mambo ya watu, wale ni watu wazima, wanatakiwa wajisuluhishe wenyewe halafu mimi nitakuja kusaidia baadaye nikiwa sawa,” alisema Mzee Yusuf.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi