,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Sunday, June 25, 2017

Msanii wa Bongo fleva anayechipukia, Foby amesema yupo tayari kufanya ngoma moja na Ben Pol kwa sababu ni mwanamuziki anayemuheshimu na kumkubali.

.Foby ambaye anatamba na ngoma yake ‘Ila’, amesema moja ya ndoto yake ni kufanya kazi moja na msanii huyo.
“Namshukuru Ben Pol kwa kueleza ananikubali, jambo hili linanipa faraja na naamini siku moja  tutafanya kazi pamoja,” alimalizia.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi