,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Monday, June 26, 2017

Babu Tale Meneja wa star mwimbaji wa Bongo Flava, Diamond na lebel ya WCB yuko nchini Marekani ambako alikwenda kuhudhuria tuzo za BET na good news ikawa kwa Tanzania baada ya mwimbaji Rayvanny kufanikiwa kuchukua tuzo ya Viewers Choice (Best New International Act).

Akiwa Marekani Babu Tale amekutana na kupiga picha na King Combs mtoto wa rapa mkongwe, miliki wa label ya Bad Boy Entertainment na mfanyabiashara mkubwa duniani Puff Dady a.k.a Diddy na akaandika maneno haya.
“Basikatikastory zetu na @kingcombs nikamwambia karibu Tanzania mix kumuonyesha vivutio akajibu natamani nije ila baba mkali usione anacheka kwenye insta. We mzee @diddy acha dogo aje kuona mnyama mshika MIC”<Babu Tale

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi