
Mtanzania Mbwana Samatta anayecheza soka la Kulipwa Katika Klabu ya Genk huko Ubelgiji jana alipata Nafasi ya Kukutana na Rais Mstaafu Jakaya Kikwete, Na Kikwete aliandika Maneno haya
“Nikiwa hapa Brussels kuhudhuria Mkutano wa Wadau wa Libya nimepata fursa ya kukutana na mwanasoka na kipenzi chetu @samatta77 leo hii “
0 comments:
Post a Comment