Posted by Williammalecela.com on Sunday, May 21, 2017
Wachezaji wa Yanga wakiwa na kombe lao la Ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara 2016/2017 katika uwanja wa ndege Mwanza walilolinyakua jana wakisubiri kupanda ndege kuelekea Dar na kupokelewa na mashabiki wao katika uwanja ndege wa JK Nyerere mchana huu
0 comments:
Post a Comment