Mrembo Zari alilomtolea msanii Madee baada ya kujiselfisha akiwa na mtoto mzuri Zanana wakiwa wameweka miguu katika kuta za ofisi ya WCB Wasafi.
Soudy Brown amemvutia waya Madee na kumuuliza kilichojiri baada ya kutolewa povu hilo na shemeji yake huyo kwa Diamond Platnumz.
Madee amefanya kama kuizima issue hiyo na kudai kwamba ni utani ndio ambao ulikuwa ukiendelea baina yao. Uhondo kamili nimekuwekea kwenye video hii hapa chini. Unachotakiwa kufanya ni kubonyeza play ili uweze kuusanukia mchongo mzima.
0 comments:
Post a Comment