
Lulu Abbas ‘Lulu Diva’.
VIDEO queen ambaye pia msanii wa muziki, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ ameibuka na kudai kuwa, anamchukia sana modo Jane Ramoy ‘Sanchi’ kwani ndiye aliyesababisha kaka yake, Idris Sultan kuachana na Wema Sepetu.

Lulu Diva.
Akipiga stori na Ijumaa, Lulu ambaye akimuona Idris anamuita mtoto wa baba mkubwa alisema: Idris alipokuwa na Wema nilikuwa nafurahi sana, nilikuwa nikitamani siku moja wafunge ndoa lakini ghafl a wakaachana na Sanchi ndiye anayedaiwa kuwatenganisha.
Sanchi.
“Eti sasa hivi Sanchi kajiweka mazima kwa Idris, kiukweli mimi sijapenda na sitaki aniite wifi ,” alisema Lulu Diva. mazima kwa Idris, kiukweli mimi sijapenda na sitaki aniite wifi ,” alisema Lulu Diva.
Sanchi.


0 comments:
Post a Comment