Kwenye Instagram zao mastaa hao wamepost waki safiri toka dar siku moja
na wote wamepost picha wakiwa dubai same day then wote wamepost wakiwa
china same place ila hawajapig picha pamoja.. Ambapo mdogo wa GSM
counselor Salaah amepost akiwa Canton fair na wema na wolper wakipost
wakiwa canton railway station same area ila wamekuwa makin kutopiga
picha pamoja au labda hawafahamiani
. Au labda ma baby wao idriss na harmonize ndo wamegharamia safari yao ya china.. Au labda yule MCM aliyempost kawasponsor.

0 comments:
Post a Comment