Posted by Williammalecela.com on Friday, September 16, 2016
Leo
September 15 2016 Mrembo kutoka Bongoflevani Shilole amezichukua
headlines baada ya kupost kwa mara ya kwanza aliyekuwa mpenzi wake wa
zamani Nuh Mziwanda, Shilole ametumia mtandao wake wa Instagram kupost
picha ya Nuh na kuandika maneno haya.
‘God Bless u‘>>>Shilole
0 comments:
Post a Comment