Posted by Williammalecela.com on Sunday, September 11, 2016
Wakenya
wamekuja juu baada ya Dongo la Zari Kumpata Huddah Kuwa ni Nyaku Nyaku,
Inasemekana Diamond yupo nchini Kenya ambapo ameenda kupiga Show
Mombasa, sasa wadaku wa Kenya wanasema hiyo ndio sababu Zari Huko alipo
hapakaliki kwani anahisi Mrembo Huddah atachukua nafasi hiyo Kumnyakuwa
Diamond.....
Hivi Ndiyo Wasemevyo Wakenya Wakimtetea Mtu wao Huddah
Monroe na kuwaponda Wabongo ambae huwa kazi yao Kuponda tu wakimtaja na
Wema Sepetu kuwa Wabongo Wamegive Up Kwake:


0 comments:
Post a Comment