,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Saturday, July 30, 2016


MTANGAZAJI nguli wa EFM ,Maulid Kitenge ameendelea kudhihirisha kuwa bado anatrend kati ya watangazaji wa Redio wenye maisha bora kabisa nchini,ambapo leo hii ameweka wazi utajiri wake hadharani.

Kitenge ambaye amekuwa tofauti na watangazaji wengine amepiga picha leo hii akiwa nyumbani kwake ambapo kwa jicho la haraka haraka inaonyesha jinsi Gwiji huyo wa michezo alivyo TAJIRI.



0 comments:

Post a Comment

ufunguzi