Posted by Williammalecela.com on Wednesday, June 15, 2016
 |
| Mdau wa Blogu ya Wananchi Elizabeth wa kwanza mwenye gauni nyeusi anatazamiwa kufunga ndoa rasmi Jumamosi huko mjini Arusha
kwenye Harusi inayotazamiwa kuwajumuisha wageni wengi maarufu akiwemo
Le Mutuz Nation, pichani ni baadhi ya wageni mashuhuri waliokuja
kuhudhuria Harusi hiyo walipowasili kutoka Texas USA leo Arusha
wakitokea Doha. |
 |
| Super Nato from Texas USA live at Doha leo kabla ya kuruka to Arusha leo live!! |
0 comments:
Post a Comment