,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Friday, June 17, 2016

Rahel Joseph Msichana mdogo mwenye Miaka 22 ni mfanyakazi wa Precision Air na pia Mmiliki wa Kampuni ya Ecopro jana alipokutana na Le Mutuz Nation kwenye ofisi za Blogu ya Wananchi ambapo alimkabidhi Le Big Show baadhi ya Sabuni anazotengeneza kwenye Kampuni yake. Le Big Show aliamuahidi kumsaidia kumatangazia biashara yake ili iweze kufikia Masoko yote ya Sabuni Tanzania.



0 comments:

Post a Comment

ufunguzi