,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Monday, November 23, 2015

indexWaziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakipokea shada la maua kutoka kwa Immaculata Warqaso wa Ofisi ya Waziri  baada ya kuwasili kwenye makazi ya Waziri Mkuu, Oysterbay jijini Dar es salaam Novemba 22, 2015 wakitoka Dodoma.Wapili kulia ni Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Dkt Florence Turuka. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi