"Rais Dr. John Pombe Magufuli ameamuru kuwa siku ya Uhuru yaani Tisa
Desemba hakutakuwa na shamra shamra zozote watu wote watafanya usafi wa
mazingira ili kutokomeza ugonjwa wa kipindupindu kwa maana hiyo
hakutakuwa na sherehe za magwaride ktk uwanja wa uhuru kama
ilivyozoeleka" - amesema. Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue
alipofanya ziara ktk Hospitali ya Taifa Muhimbili leo.

0 comments:
Post a Comment