,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Monday, November 23, 2015


Navy-Kenzo-na-R2bees
Wasanii wa Navy Kenzo [Aika na Nahreel] wamefanikiwa kufanya wimbo na kundi la R2bee kutoka Ghana.
Navy Kenzo ambao walikuwa Afrika Kusini kufanya show kwenye tamasha la AMC [Africa Music Concert 2015] wamekutana na wasanii kana Davido, Wizkid, Vanessa Mdee na Victoria Kimani.

R2Bees [Refuse to be broke] ni miongoni mwa wasanii wakubwa Africa.

navy 2 navy 3 navy 5

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi