Posted by Williammalecela.com on Monday, November 23, 2015
 |
| Fumua fumua yamabadiliko ya Rais Dr. Magufuli hatimaye imewakumba Shirika la Ndege la Emirates ambalo sasa limepunguza safari zake za kuja Bongo kutokana na agizo la Magufuli la Maofisa wa Serikali kutosafiri nje ya bongo bila ya ruhusa maalum. |
0 comments:
Post a Comment