¤Hili
ni gazeti la "Nipashe" la Jumatano tarehe 28-Jun-1995. Mwaka 1995
wakati mamvi akiwa na umri wa miaka 42 tu tayari alishaanza kukinukisha.
HATARI!
¤Mwaka huo wa 1995 kulikuwa na wagombea 17 wa CCM kama ambavyo walikuwa 11 mwaka 2005. Au wagombea 42 mwaka huu 2015.
¤Kwa mujibu wa mzee Joseph Butiku, mtu aliyemshitaki mamvi mwaka 1995 alikuwa mzee Mwinyi. Jina lake LIKAKATWA kwa kutumia nguvu za Mwalimu. Mtu mwingine aliyekatwa ni Malecela. Walikatwa kwa kisu kikali (Cesarean Knife). Mwalimu Nyerere alitishia kurudisha kadi ya uanachama wa CCM kama wajumbe wataendelea kukomaa.
¤Mara ya pili KUKATWA kwa mamvi ndio hii 2015. Amekatwa na mtu ambaye hawakukutana naye barabarani ambaye mwaka 1995 walipanda ndege moja kwenda kuchukua fomu Dodoma.
¤Kwa kifupi, kwa miaka mingi mwenyekiti wa CCM ndio rais wa nchi (ukiachia 1985-1990). Marais wa nchi duniani kote huwa wanapata intelligence briefing kila siku. Wanakuwa na taarifa nyingi nyeti za kiusalama ambazo wengi wetu hatuzijui. Ukiona wanamkataa mtu, ujue kuna mambo mazito. Kiusalama sio lazima yawekwe wazi. Marekani kwa mfano baadhi ya taarifa zinaweza kuwa "declassified" labda baada ya miaka 35.
¤Tena rais Mwinyi alikuwa mpole sana. Kila kitu ruksa. Ukiona anamshitaki mtu ujue ni BALAA.
¤Kama mwaka 1995 na 2005, uchaguzi wa mwaka huu 2015 umegawanyika katika agenda mbili. Usafi au umaarufu!
¤Mwaka 2005 Mwalimu Nyerere hakuwepo. Rais Mkapa alizidiwa nguvu na mtandao.
¤UKAWA wamechagua umaarufu kuleta MABADILIKO. CCM wamechagua usafi. Hayo nayo ni maamuzi magumu kwa pande zote mbili.
¤Mwaka huo wa 1995 kulikuwa na wagombea 17 wa CCM kama ambavyo walikuwa 11 mwaka 2005. Au wagombea 42 mwaka huu 2015.
¤Kwa mujibu wa mzee Joseph Butiku, mtu aliyemshitaki mamvi mwaka 1995 alikuwa mzee Mwinyi. Jina lake LIKAKATWA kwa kutumia nguvu za Mwalimu. Mtu mwingine aliyekatwa ni Malecela. Walikatwa kwa kisu kikali (Cesarean Knife). Mwalimu Nyerere alitishia kurudisha kadi ya uanachama wa CCM kama wajumbe wataendelea kukomaa.
¤Mara ya pili KUKATWA kwa mamvi ndio hii 2015. Amekatwa na mtu ambaye hawakukutana naye barabarani ambaye mwaka 1995 walipanda ndege moja kwenda kuchukua fomu Dodoma.
¤Kwa kifupi, kwa miaka mingi mwenyekiti wa CCM ndio rais wa nchi (ukiachia 1985-1990). Marais wa nchi duniani kote huwa wanapata intelligence briefing kila siku. Wanakuwa na taarifa nyingi nyeti za kiusalama ambazo wengi wetu hatuzijui. Ukiona wanamkataa mtu, ujue kuna mambo mazito. Kiusalama sio lazima yawekwe wazi. Marekani kwa mfano baadhi ya taarifa zinaweza kuwa "declassified" labda baada ya miaka 35.
¤Tena rais Mwinyi alikuwa mpole sana. Kila kitu ruksa. Ukiona anamshitaki mtu ujue ni BALAA.
¤Kama mwaka 1995 na 2005, uchaguzi wa mwaka huu 2015 umegawanyika katika agenda mbili. Usafi au umaarufu!
¤Mwaka 2005 Mwalimu Nyerere hakuwepo. Rais Mkapa alizidiwa nguvu na mtandao.
¤UKAWA wamechagua umaarufu kuleta MABADILIKO. CCM wamechagua usafi. Hayo nayo ni maamuzi magumu kwa pande zote mbili.
- Apilike Gordon CCM wamechagua usafi kivipi wakati wamewapitisha watuhumiwa wa escrow kugombea ubunge?
- Cosmas Festus Hiyo point ya taarifa za kintelijensia sio kigezo cha kutuhakikishia eti kukatwa kwa lowasa kulitokana na lundo la madhambi aliyonayo..
Kashfa kubwa ni kuwa ana pesa nyingi! Ni zipi hizo? Ni shingi ngapi? Ziko wapi? Hakuna anayesema..kasha nyingine ni ...See More - Amani Keenja Mtuma post hapo juu amezungumzia uteuzi wa mgombea urais wa CCM akilinganisha miaka iliyopita. Mwaka 1995, mgombea aliweza kuvumilia akiamini anaweza kujiandaa vyema zaidi kwa miaka inayofuata. Mwaka 2015 aliamini amejiandaa vyema, bila kudhani maandalizi ni pamoja na kufuta kasoro zilizosababisha akatwe mwaka 1995. Maandalizi sio pesa na mitandao peke yake. Ni pamoja na kutathmini ulipoangukia kipindi kilichopita.
- Cosmas Festus Pete Odoch hatuhitaji kujua ngazi ya juu ni nani kama yeye alikuwa waziri mkuu
- Yamamoto Bahati octoba itasimamisha dunia na tanzania,walala hoi wamechoka sana bora wabadilishe uongozi
- Kunukula Elibariki Ipo siku watakuelewa usichoke kuwaeleza.
- William Kaijage APILIKE
¤Nazungumzia wagombea urais.
¤Suala la wagombea ubunge nakubaliana na wewe. - Amani Keenja Hata CCM itabadilisha viongozi wa serikali mwaka huu. Na miaka miwili ijayo, itabadili uongozi wa chama. CDM watabadili lini?
- Apilike Gordon Kwenye wagombea urais mwaka 1995 kama kichwa cha habari kinavyosema ubabe ulitumika na taratibu zilikiukwa. Kilichomkabili mamvi that time ni tuhuma bila ushahidi wala hatua za kinidhamu dhidi yake. Ndio maana hakuenguliwa kwenye kinyang'anyiro cha ubunge na alikuwa ni waziri kwenye serikali ya awamu ya 3.
- Abubakar Ally Good
- Tryphon Kabosa Kimsingi mtoa hoja umemaliza kwa ukakasi.Ccm wamechagua usafi? hapo humdanganyi MTU.Maana yke magufuli ni msafi!
- Tryphon Kabosa Kama ccm Magufuli ndio msafi wao Kazi IPO wtz wataamua.
- Oscar Kissanga Kajigae unatapatapa tu...mtandao unaousema huo wa 1995 ndio uliomuweka Kikwete madarakani leo hii..iweje leo hii kikwete awe na haki ya kuwa raisi,lowasa akatwe? Mahaba yako na wizi wenu wa kifamilia na kutaka kujimilikisha utawala wa nchi hii wa famil...See More
- Elisante Emanuel Kebba msafi nani?
- Oscar Kissanga Kwa sasa ni bora nipoteze passport yangu ama driving licence yangu au kadi zangu zote za banks kuliko kuipoteza Kadi ya kupigia kura...Jamani nilipoificha Mungu tu ndie anayejua maana kazi yake ni nzito kwa kweli hata angerudi mwl Nyerere leo hii nisin...See More
- Allen Nicolas Mpiga Kama kuna mtu amevurugwa basi wewe uliepost hii post umevurugwa sana, huwezi kutubadirisha kwa blah blah zenu tunataka mtueleze uchafu wa Lowassa kwa uwazi na sio kwa mafumbo na chuki zenu kama hamna ushahidi tuacheni tufanye maamuzi kwenye sanduku la ...See More
- Nevava Japhet Mesiack Na ni vyema sasa tunavyoelekea kwenye kampeni tukajadili ISSUES na sio mtu. Kama ni lowassa alishaondoka CCM na ndie mgombea wa UKAWA whether you like it or NOT.
- William Sasi Naona Lowassa ndie anayeonekana ni fisadi mkubwa sana aliekuwa CCM, lakini inashangaza kuna viongozi wengi wa CCM na wa serikali ya CCM ambao wanajulikana kwa ufisadi na wanatuhumiwa kwa ufisadi na wala wana CCM hawawasemi na wala hawajawahi kuwataja k...See More
- William Kaijage WILLIAM SASI
Mafisadi wengi waliofanikisha mambo kama EPA ndio hao wamehamia CHADEMA. Kwa hiyo taratibu CCM inajisafisha. Mpaka kufikia mwaka 2017 (kwenye uchaguzi wa ndani ya chama) itakuwa imemaliza kuvua magamba yote yalishindwa kuvuliwa mwaka 2012. - William Sasi Hahahahahah!! Kaka William Kaijage hivi Mwakyembe aliposema ameficha baadhi ya mambo kuilinda serikali ili nchi isiyumbe kwenye ile kashfa ya Richmond baada ya Lowassa kujiuzulu wakati akijibu hoja ya Lowassa kuwa ameonewa, unahisi ameficha mambo gani mpaka leo watanzania hawajui!!??
- William Kaijage WILLIAM SASI
Unachoongea siwezi kukubishia. Najua unamaanisha MAMLAKA YA JUU. Lakini uchaguzi wa mwaka huu sio wa Lowassa na MAMLAKA YA JUU. Uchaguzi wa mwaka huu ni Lowassa na Magufuli. - William Sasi Haya bana... Nasubiria posti nyingine kesho nione unakuja vipi... Usiwe biased sana... Hebu tupia na ya chama chako japo kidogo....
- William Kaijage Ahahaha. Kesho nataka kuilima CCM ili ku-balance hali ya hewa.
- Marwa Mwita Kaijage hongera sana kwa umahili wa chambuzi zako...sasa nafikili inatosha naomba ugeuze upande wa pili wa gazeti , maana ukiendelea sana unaweza kujenga uadui na watu harafu ikawa mbaya...wakati huu sio mzuri wa kukubali kuwa adui kama Polepole...Mamv...See More
- Marwa Mwita Zinaseidia kutujenga kuelekea 25/10, ilitupige kula yenye manufaa kwa Tanzania na sio Chama wala Mtu...hii ni zaidi ya Mtu..
- Frank S Makoba Kama ni hayo, basi ujue hata magufuli sio chaguo la mwenyekiti, in short, asilimia kubwa ya serikali za africa, maraisi wastaafu hujaribu kuweka watu kwaajili ya kulinda maslahi yao. Lakini pia, kwa hali ilivyo sasa, kama mwalim angekuwa hai, angekuwa ...See More
- William Kaijage FRANK MAKOBA
¤Lowassa hakutangazwa na CCM kuwa fisadi.
¤Upinzani hususan CHADEMA ndio waliokuwa wanamuita fisadi. - Marwa Mwita Ushaona mwenyewe mpaka wengine wana diliki kumsaliti Mungu wao sasa unafikili pako salama hapo..ni hatari kaka angalia sana makala zako hizo zibalansishe zisije zikaibua Bomu ..
- Andrew Makungu Mamvi hafai! Magufuri oyeeeer!!!
- CM Mgaza Wadau fahamuni jambo ktk historia ya uumbaji wa Mungu mwenye kumiliki vyote hakuna muungano wa vingi uwe ktk maovu au mema ukashindwa na moja, kwa msingi huo muungano wa Ukawa wapo 4, na ccm ni 1. Jibu ni hili Hakuna ushindi wa 1 kuishinda 4. Lazima Ukawa watashinda uchaguzi kwa kishindo
- Aron Winter Nyerere aliendesha puta vikao Na taratibu zilikiukwa mbona hujafafanua vizuri.usituletee ushabiki hapa ongea points tukuelewe
- Joseph Sauwa Huko Nyuma tuliambiwa tuchague Mr Clean lakini tuliona haikuwa clean baadae tukaambiwa tuchague mwenzetu mshikaji tukaona akimalizia sio mwenzetu tena bora tuishie kuchagua Tajiri ili aendelee kupata kwani an mbinu nyingi za kuzalisha mpaka akiba as lo...See More
- William Kaijage CM MGAZA
Kuna vyama 22 vya siasa vyenye usajili wa kudumu. UKAWA wamevitenga vyama vingine hususan ACT kutokana na uadui binafsi wa viongozi wa CHADEMA dhidi ya Zitto. Utengano ni udhaifu. Utengano ni ushindi kwa adui. - Apilike Gordon UKAWA wamemtenga ZZK au ni yeye ndio amekataa kujiunga na UKAWA? Agenda ya ACT toka ZZK aingie kule imekuwa ni kushambulia CDM badala ya CCM! Iweje leo ionekane kuwa ishu pekee ni uadui wa viongozi wa CDM dhidi ya ZZK??
- William Kaijage APILIKE
¤Watu wa UKAWA kama John Mnyika, walikwishatoa statement ya kutoikaribisha ACT ndani ya UKAWA.
¤Katika mazingira kama hayo, imebidi ACT wasiwe na namna nyingine zaidi ya kuwa kivyao.
Joshua Masinema Hata mwalimu hakuwa sahihi wakati wote,mda mwingine aliongozwa na chuki binafsi,alizozificha katika maadili,























Nakuunga mkono ndugu mwandishi miaka 1000.
ReplyDeleteKwa kipindi hiki ni msafi ukilinganisha mgombea wa upinzani UKAWA.
Huyu mtu ameanza kampeni akiwa CCM kwa kutoa misaada kwa makanisa na vikundi ya vijana bila kutuambia pesa zinatoka wapi nazinarudishwa vipi.
Watanzania tukumbuke kuwa hakuna kitu bure(bure ni ghari)anasema anamarafiki(Rostam Aziz,Mengi,Kalamagi) ni hawa hawa watu waliogombana na selikali iliyopita kutaka kugawiwa vitalu vya gesi( yaani gesi ya taifa ibinafsishwe)
Sasa blaza akipita hawa marafiki zake si ndio tutakuwa tumekwisha wanyonge.
Kweli tunataka mabadiliko lakini tukumbuke kuna mabadiliko ya aina mbili negative na positive
Tumichoka CCM lakini kwa kipindi hiki kumpa EL ni kuuza nnchi
Kwa sasa CCM ni positive change