Posted by Williammalecela.com on Tuesday, August 18, 2015
 |
| Ninaomba kuwaomba radhi wasomaji wetu wa hii Blogu kwamba jana siku nzima Jiji la Dar halikuwa na Umeme na kwa Siku nzima, so this Blog hatukuwa na jinsi ingawa tulijitahidi kutoa habari kutoka kwa msaada mdogo kutoka Morogoro ingawa haikuwa kwa speed yetu ya kawaida. Again tunawaomba sana radhi kwa matatizo ya jana lakini sasa hivi tupo sawa sawa 100% back to our speed!! - le Mutuz Nation |
0 comments:
Post a Comment