Kama ilivyo kawaida ya waswahili kuoneana wivu ndivyo ilivotokea baada ya msanii Alikiba kutangaza kufanya colabo na Neyo, Hali hiyo imeikaisirisha management ya Mondy na kuamua kumtuma Salim sk ambaye ni miongoni mwa meneja wa Mondy kwenda Nchin Kenya kuomba collabo Neyo ili imiwezekana lifanyike haraka na kurelease wimbo kabla hata ya collabo la Kiba na Neyo halijatoka.
Kwa bahati mbaya au nzuri Salim amekuta tayar collabo ya kiba ndiyo imeanza jana usiku na baada ya coke studio itaachiwa rasmi.
0 comments:
Post a Comment