,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Tuesday, August 18, 2015

Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kilimanjaro Freddy Mushi, aliyetangaza kujitoa CCM na kujiunga na Chadema wiki iliyopita sasa amemuandikia Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa kumuomba amsamehe
na kumpa nafasi ya kurudi kwenye nafasi yake baada ya kukubali kurubuniwa na Team Lowasa kwamba watampa Shillingi Millioni 20 ambayo toka wamemuahidi haijaipata na wamekuwa wakimrusha rusha kama mpira. Mushi amesema alihadaiwa na baadhi ya Viongozi wa CCM waliojiunga na Lowasa Chadema, lakini toka ajiunge amekuwa akijaribu kupata ahadi yake bila mafanikio na kwamba kila akimpigia simu Lowasa mwenyewe amekuwa akiambiwa yupo busy na wasaidizi wake, hivyo ameomba kurudishwa CCM na kwamba ataita Waandishi wa habari na kusema ukweli wote kwenye Hotel ile ile ya Leopard Hotel mjini Moshi wakati wowote akisamehewa.

5 comments:

  1. Yani nyie CCM bado mna elimu na mbinu hizi za enzi zile...kweli mtashinda...sasa huyu inaelekea ni mfuata maslai maana akirudi ccm na akihongwa basi atakubali na hawa ndiyo viongozi wenu...mlikuwa hamjui kuwa ni wapenda pesa....yani bora angekaa kimya maana inabidi achukuliwe sheria ambayo Raisi kaipitisha juzi.

    ReplyDelete
  2. Tamaa iliuwa fisi. Abaki hukoko

    ReplyDelete
  3. Amerudi maana hajalipwa this shows you how CCM LEADERS ARE wakipewa pesa wanaanza mbele kwa mbele.....sasa amerudi anasubiri ACT wamuite

    ReplyDelete
  4. Hata CCM hawamtaki kwa taarifa yako mdau hapo juu huyu jamaa ni kweli chadema wakimdanga akadanganyika na ameilamba sumu,,

    ReplyDelete
  5. Siku zote tuishi kwa mifano na methali ya waliopita; kama aliye juu mpandie hukohuko mmebadilisha ukweli. Lakini mimi nasema hivi "FEDHA FEDHEA"

    ReplyDelete

ufunguzi