Unasambaa kwa kasi ktk wilaya ya Kinondoni kwenye kata za kijitonyama, kimara, tandale na nyinginezo na kufanya jumla ya kata 9.
JIHADHARI KULAKULA OVYO MITAANI, WEKA MAZINGIRA YAKO SAFI NA PIA NAWA MIKONO YAKO MARA KWA MARA.
Kwaufupi Kipindupindu kinatokana na kula chakula chenye uchafu unaotokana na kinyesi.
0 comments:
Post a Comment