- Malkia Divina Mwafongo Toroka uje
- Maiza Kitonka Words from a wise man
- Eustice Sonyo Shemeji umeonyesha ukomavu wa kisiasa umethubutu...
- Esther Kabuchi Which post are/ were you going for? Don't give up yet
- Josephinne Whitness Shangwe Powerful
- Erick Tendega Wewe ni hazina kubwa katika chama
- Dan Kay Ukomavu at its best! Safi Deo Ndejembi, there is always next time
- Esther Kabuchi How is Allmon Chaula Allmon Chaula doing in this contest?
- Neema Swagara Usije sepa kwani chama kinakuhitaji.pia ucwe wale wanaoshindwa na kukimbia huo ndo uamuzi sahihi kaka. Wanaokimbia wanalao jambo chini ya carpert. Big up bro.
- Mwanamanga Mwaduga Safiiiii
- Hala Habib Ongera sana brother tupo pamoja
- Achu Mlela Huo ndio ukomavu katika chama.
- Amani Keenja Hongera sana Mheshimiwa Deo Ndejembi. Umeonyesha umahiri, uhodari na uzalendo mkubwa kwa kutaka kuwatumikia wananchi wa Jimbo lako. Itafika siku, jitihada hizo zitazaa matunda mema na utatimiza ndoto hiyo njema.
- Julius Macgwire Msote Joel Mwaka Mwkanyaga ndo jina gani hili?...Hebu weka sawa hili then utueleze huyo bwn Joel ni wakutoka wapi ili tumnasibishe na asili ya Dodoma!.
Tena kama kuna kitu mhimu katika historia ya kuchagua wabunge/viongozi nk ni muda muaafaka sasa kupata wat...See More - Jumanne Miraji Simba Huo. .ndo uwanaumie. ..kama leo imekosekana kesho Ipo. ..
- Joseph Kiputta Big up Deo Huo ndiyo ukomavu wa siasi bado kuna next time
- Yoram Masinga Huu ndio ukomavu wa kisiasa kaka #deo
- Deo Ndejembi Siwezi hama CCM miaka 1000 na nitakiombea kura kwa fadha zangu. Nina imani na CCM although ni dhulma ya wazi imefanyika jimboni. Ila nina imani na John Pombe Magufuli na CCM. Tutashinda na CCM itabaki Imara.
- Amani Keenja That's once again powerful. Pole kwa uonevu uliotokea. Ni wakati wa kuhakikisha viongozi wenye dhamana ndani ya chama wanapata somo kali la kukomesha uonevu kwa wagombea. Isiwe mtaji kwa mgombea kuomba ridhaa ya kuongoza. Ni aibu inayohitaji dawa kali.
- Heinrich Luther Mungu akutangulie kwa ukomavu uliouonesha..2020 ipo Ucjali tuombe uzima tu
- David Charles Masanja Safi sana blai huo ndio ukomavu wa kisiasa Deo Ndejembi
- Asha Minziro Tuko0pamojaa Sanaa
- Masatu Maganga That's what we call maturity! Congratulations Deo Ndejembi
- Veronica Tabu Good keep it up
- Caren Bakari Safi sana
- Fatuma Issa Big up
- Ramsey Murason Huo ndio mtazamo chanya. Umekua mwanasiasa wa ukweli. Hongera. Mipango si matumizi
- Deus Jombo Umoja ni ushindi.
- Asha Minziro Hapo Hasalitiki Mtu Muache Anamsimamo Deo
- Ummy Mwalimu Hongera sn Deo. Ulipofikia ni hatua kubwa na muhimu ktk kufikia ndoto yako ya kuwatumikia wana Chilonwa. Huu ndio ukomavu wa kisiasa. InshaAllah miaka 5 si mingi...Sina shaka utaingia mjengoni kipindi kijacho. Hivi sasa kazi ni moja tu kuhakikisha ushindi wa kishindo kwa JPM na wana CCM ktk ngazi mbalimbali hasa jimboni kwako. Hongera sana!
- Mbarouk Nyambi Nami nakuombea kwa mungu uwe na afya njema ili lengo litimie. Tuliobakia ndiyo wenye ccm yetu, na umoja wetu ni ushindi wetu.
- Sehewa Kanyamala We'r family.
- Nadia Flex safi sana deo
- Mwakifulefule Herrieth Asante baba, ukomavu wa hali ya juu
- Deo Jembe Me bado sijakubaliana na hali halisi.........aaaaaaaaaaaaanh Deo Ndejembi
- Imani Moshi Hongera sana Comrade, vidonda hivi vinawezekana kwa mtu kama wewe unaefahamu kuwa Chama ni bora kuliko hata wewe, simama ukisemee Chama cha Mapinduz kaka. Mungu yu pamoja nawe
- Kasongo Kassmoddy Safi sana bro..inshaallah
- Michael Lebba Deo mimi binafsi nakukubali sana na nakuona ni nyota yenye matumaini kwa sasa na siku zijazo, unaa hekima na busara na ni mwanasiasa kweli kweli. Sikuwa na shaka nawe hata kidogo kwa dhamana uliyoiomba nilikuwa na matumaini kwamba ungeitendea haki nafasi hiyo, bado ni kijana mdogo unayo nafasi kwa siku zijazo kwa kuzingatia uadilifu na utii kwa chama na wananchi kwa ujumla. Naamini kilichoshinda ni chama siyo mtu
- Leo Mukirya Nyanduga You are counted uncle..
- Camilla Kigosi Umefuata moyo wa uvumilivu wa babu yako mzee pancras mtemi ndejembi,be blessed
- Sista Latifah Good brother
- Cobby Smiller Big up in law no matter what life need determination and not decoration I'm sure time will tell one day stay bless and focus all the best to the route to your destination
- Halfan Ahmed safia sana kiongozi kumbe vijana hatukukosea tulipokupa dhamana,CCM inahitaji nguvu yetu vijana na sio uchu wetu wa madaraka.CCM daima dumu!
- Oscar Kissanga Muongo hiyo kauli haijatoka moyoni kabisa@ Deo..
- Amani Mollo opn ur iz...
- Nicholaus Chibwana Although!!!
- Isaac Chilewa huo ndio ukomavu wa kisiasa
- Sophy Gati James Ccm oyeee
- Aminah Makona Umenifurahisha sana Deo Ndejembi kwa uamuzi wako ni ukomavu wa kisiasa karibu kaka kwenye kampeni hongeraaa
- Merina Godfrey Binamu Safi sana mdogo wangu!
- Leonsi Bayo huo ndio wanaume sio kuhama ni kukubali maamuzi ya chama bg up
- Bona Tisha Ndejembi The greatest test of courage on earth is to bear defeat without losing hope. Deo ur a fighter, you will come back strong. All the best and may God bless you.
- Zulfa Hashim safi sn bro
- Dobogo Simeo Weka tinted, Twende kazi mkulu.
- Lolamaka Arnold Mgana Kila la kheri kk.
- Funlaugh Isha Oyeeee🏿
- Tima Adadi Mwendo ni ule ule.Yote mipango ya M/Mungu kwako bwanashem.Always got your back
- Shanyce Mwekambi Yani iko poa sana.
- Lameck Semango Kimsingi kama umetendewa haki haina budi kahama ila kama dhuruma ilikuwepo sio lazima kuhama, lakini ukibaki huku ukijua hukutendewa haki ni shidah.
- Jackson Ponela changamoto tu deo wala usijali ...maisha lazima yaendelee
- Rukia Choray Hongera sanaa kaka Deo
- Revocatus Rugumila Mwisho wa siku ni kujipanga upya na kupambana pale utakapopata nafasi tena, Kwako huo ni ushindi na pia umeonyesha ukomavu kidemocrasia, Tumshukuru Mungu kwa yote na Miaka mitano haiko mbali wala hutakiwi kukata tamaa ni kujipanga upya na Hadhima ya kuwatumikia wananchi wa jimbo lako itatimia, Nakupongeza kwa juhudi zako kwani niliziona na Mungu akubaliki. Deo Ndejembi
- Bradley Allan Okech DEOGRATIUS N
"Ninakubaliana
na maamuzi ya chama changu na nina ya heshimu. Nita baki mwana CCM
mtiifu na kukupigania chama changu kiweze shika dola 2015. Na
nitamuombea kura Uncle wangu Joel Mwaka Mwkanyaga bila kusita. Na nita
tafuta kwa nguvu kura za John Pombe Magufuli."
Allen Crony Kasamala huo
ndio ukomavu, huo ndio uongozi, huo ndio uaminifu kwa mwendo huo you
have a bright political future, futa vumbi, kaza buti songa mbele
kamanda.































































0 comments:
Post a Comment