Posted by Williammalecela.com on Tuesday, June 23, 2015
Mhariri Mkuu wa Kampuni ya New Habari, ambao ni wachapishaji wa magazeti
ya Mtanzania, Bingwa na Dimba, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jukwaa la
Wahariri Tanzania (TEF) ndugu, Absalom Kibanda, amemtupia kombora
mgombea Urais wa CCM. Kumbuka Kampuni ya New Habari, Ofisa Mtendaji Mkuu
wa Kampuni ya New Habari (2006) ni Hussein Bashe ambaye ni Msemaji wa
Mgombea urais wa JMT Edward Lowassa.
Hapa nashindwa kuelewa Mhusika ni nani. Sababu siwezi kusema ni Membe
sababu Membe alishatoa tamko kukana Kumdhuru Kipanda. Pitia hii thread
Membe atoa tamko juu ya kutekwa kwa Kibanda na Waziri Membe akanusha
kuhusika tukio la kumdhuru Mhariri Kibanda.
Kumbuka Bashe hawaivi chungu kimoja na Nape Nnauye. Na Nape Nnauye
kaachiwa Jimbo la Mtama na Benard Membe. rejea hii Thread Bashe ajibu
mashambulizi ya Nape Nnauye.
0 comments:
Post a Comment